01/09/2026
Hebu Muongelee Maxi kwa Kifupi sana
sports
01/09/2026
Hebu Muongelee Maxi kwa Kifupi sana
01/09/2026
Shida yenu hamsalimii watuu.. ningekuwa nawapa odds za SportPesa Tanzania kila siku
01/09/2026
Yanga Soccer School
01/09/2026
Kamisheni mtume sasa SportPesa Tanzania
01/09/2026
Twende mbele turud nyuma.. hii ni malii
Hapa kuna pasi mbili ambazo zimeamua mchezaji bora wa mchezo.
Tazama pasi ya Maxi utaelewa kwanini mpaka sasa ana tuzo ya mchezaji bora wa mechi mara 4.
Rudi kwenye pasi ya Aziz Ki, hizi pasi zinauzwa BILION +
Mwisho ni mjadala wa Shalulile. Nimeona ona mijadala yenu. Basi tumekubali kuwa Douambia ni mshambuliaji bora kuwahi kutoka Afrika.
Mastaaaa Kiiiiiii
SportPesa Tanzania
31/08/2026
Hapa waungwana vipii SportPesa Tanzania
30/08/2026
Hakuna timu inapendwa Tanzania kuliko Yanga. Huu ni UTAFITI wa wazi kabisa. K**a vipi tazama kwenye comment