02/06/2026
World sports mwanza
ULIMWENGU WA SOKA
ALL NEWS SOCCER APDATES
FAHARI YA MWANZA MJINI NA VIJIJINI
KARIBUNI KWA HABARI ZA SOKA SAFI
02/06/2026
09/08/2025
Msimu ujao Yanga wanamuhitaji a fit Yao Yaoπ
Bila Shaka Yao akiwa Fit siyo Mwenda wala Kibwana hakuna anaeweza kumkalisha benchi.
A fit Yao anakupa balance ya ulinzi pia ni tishio kwenda mbele.
Kuelekea msimu ujao Yanga wanatakiwa kuwa na Yao kwenye mbavu yao ya kuliaβ¦jamaa anajua ball.
World sports mwanza
08/08/2025
This Boy Allan Okello (25) anajua sana mpira,kwanza ni winga wa kulia asilia ambae anatumia zaidi mguu wa kushoto kuingia ndani.
Ni ngumu sana ku-deal nae haswa ukiwa ni beki wa pembeni.
Msimu uliopita kwenye ligi ya Uganda alitwaa tuzo ya MVP bila kusahau alitwaa kiatu cha mfungaji bora.
Jamaa ni ana kimo kidogo ila anajua ballπ₯
World sports mwanza
08/08/2025
ANAOMBA NAMBA KWA NGUVU UKO MISRIπ€―
Unaambiwa huko mazoezini hata wachezaji wenzake wanaogopa kumkaba maana ukienda vibaya anakulambisha nyasi , jamaa Mali ikiwa mguuni kwake ni ngumu kumpora mpaka pale mwenyewe aamue kuachia pasi
Prime Pacomeπ₯ π«‘π«‘π«‘
World sports mwanza
08/08/2025
World sports mwanza
08/08/2025
π¨π¨ UPDATE: Muda wowote kuanzia sasa klabu ya EspΓ©rance Sportive de Tunis ya Tunisia itatuma ofa ya kumpata Clement Mzize (21).
Yanga wamekataa ofa ya $600,000 ya Al Masry,wao wako tayari kupokea $800,000 hadi $900,000.
World sports mwanza
06/08/2025
πππππππ ππππππππππ ππππππππ!
Karibu nyumbani kwa Mabingwa Mohamed Hussein π°
05/08/2025
no sleeping π’π‘
05/08/2025
hii nchi????
05/08/2025
Karibu Jangwani Thulani Thekiso ππ½ Mchambuzi wa Video za Michezo(Video Analyst)
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Website
Address
Nyegezi