16/05/2024
NZEGA DC SPORT CLUB
Plays
16/05/2024
03/12/2022
Tualikeni Popote Tunafika Kucheza Mpira
Ndani ya Nchi Yetu !! # Tanzania
Na yeyote anaehitaji Kushiriki na Sisi Kutoka Wiyala Yoyote Nchi Hii Anakaribishwa Sana .
03/12/2022
03/12/2022
Next Game Shinyanga Municipal
03/12/2022
Ulikuwa ni Wakati wa Kubadilishana Mawazo # Timu Ushindi
17/09/2022
Karibuni katika Ukrasa Huu wa Nzega Dc Fc.
Habari Wanamichezo.
Timu ya Watumishi Yaani NZEGA DC SPORTS CLUB Inataraji kusafiri kuelekea Dodoma Kushiriki Mchezo wa kirafiki na Timu ya Watumishi wa Dodoma Manispaa Hivyo Wadau Mnaalikwa Kushiriki pamoja.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Contact the business
Website
Address
Nzega
Opening Hours
| Monday | 09:00 - 17:00 |