25/09/2023
π₯ π₯ π₯
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Jithamini Jogging Club, Sport & recreation, Misuna/Singida, Singida.
25/09/2023
π₯ π₯ π₯
25/09/2023
28/08/2023
Happybirthday to you saudat member bora kabisa wa jitahmini ... Mungu akubariki akupe kila Hitaji la moyo wako.
12/08/2023
12 AUGUST 2023
Siku ya vijana duniani leo mazoezi yalie delea k**a ilivyo kawaida yetu π₯ π₯
10/08/2023
Kuelekea SIKU YA VIJANA DUNIANI Tarehe 12 August 2023 (International Youth Day) JITHAMINI JOGGING CLUB inakukaribisha katika usafi wa kujitolea katika stendi ya mabasi mkoani singida (misuna) Siku ya jumamosi saa moja kamili baada ya mbio nyepesi.
Vijana ni hadhina ya taifa.
K A R I B U N I W O T E
10/08/2023
05 AUGUST 2023
29/07/2023
29 JULY 2023
28/07/2023
Hakika NBC MARATHON MMETUWAKJLISHA VYEMA .. PAMOJA KATIKA UNOJA WETU TUNAWASHUKURU & TUNAWAPONGEZA SANA.
23/07/2023
UONGOZI WA JITHAMINI JOGGING CLUB UNATOA POLE KWA WANACHAMA WA ADDEN JOGGING CLUB (MWANZA) KWA KUONDEKEWA NA WANACHAMA WENZAO.
HAKIKA BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE NA WAPUMZIKE KWA AMANI π€ππ
22/07/2023
22 JULY 2023 BAADA YA MAZOEZI JITHAMINI JOGGING CLUB WAMESHIRIKI USAFI KATIKA DAMPO LA KARAKANA LILILOPO KATA YA MISUNA, HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA MJINI PAMOJA NA MTENDAJI WA KATA HIO BWANA
HAKIKA "USAFI NI AFYA" MAZINGIRA YETU NI LAZIMA TUYATUNZE ILI TUPATE AFYA NJEMA NA KUENDELEA VYEMA NA MAZOEZI YETU.
singida