24/01/2026
Najua sio interest yako tajiri lakini kwa interest ya TAIFA Siku moja kasirika tia hela kwenye NGUMI na yule mtoto anae paka piko kumekua na hadithi nyingi na yote ni sababu, mapromoter wengi mitaji midogo kulinganisha na sifa ya wanae taka kumchezesha African an world boxing superstar champezβ Onetyme naomba ukiafiki hili niite tupange π₯·
15/01/2026
inawezekana kua ni kweli ni mapromoter wasio na kitu wana niona ni bondia ninae taka malipo makubwa kuliko wote walio wahi kutokea kwenye industry ya NGUMI kwa karne zote lakini pia ni sababu hajatokea pia Bondia k**a mimi kwenye Ngumi kwa karne zote this is my time 2026 yule mtoto Dua yake iko karibu sana kujibiwa kwa pamoja tusemeni AMEEEN
πΆ Leo na pochi yenye noti we huwezi shika usinichoshe mi ni boss mechi Kuisha π€
10/01/2026
Bondia Mwenye maadui wengi zaidi!! Bondia mwenye Nguvu ya ushawishi na mashabiki wengi zaidi!! Bondia Ambae ngumi zake zinauma zaidi Bondia alieshinda vita vingi zaidi dhidi ya promoter Mapengo wa TANGA Promoter Limbukeni Mwenye chuki na Mshamba zaidi πͺπΎ wewe na team yako nitawafundisha kwa vitendo ya kwamba mimi ndio Bondia Ambae TASNIA inanihitaji zaidi
06/01/2026
Niko hapa kuwajulisha ya kwamba yule bondia mlemvi ambae hakua level yangu πππ amenirudisha tena kua top namba moja AFRICA na no 37 kati ya mabondia 1,950 hii ni world ranking # haikua na ulazima niseme lakini sababu industry imezungukwa na baadhi ya mabondia wapotoshaji na wenye makengeza ni lazima tuelezane ruksa π€
02/01/2026
Bondia kutoka morogoro pambano lake na dula mbabe alilipwa million 30 na gari crown used na ndio hela pekee nyingi kuipata kwenye maisha yake ya ngumi Ambapo miaka 7 nyuma crown Mimi nilikua naweka mbwa kuwapeleka kuoga Raskazone beach. sikua na kitu wakati huo lakini bado siku chukulia ni gari ambayo napaswa kufanya tambiko la kuzunguka mkoa mzima point ya msingi ni kwamba ofa uliyo taka wewe million 50 ambayo unalilia kuikosa kwenye pambano la mimi na wewe ni hela Ambayo sikumbuki mara ya mwisho ni lini nimepigania hio hela mimi ni professional high level kutofautisha na nyie pili ni mfanya biashara sio nipige ni kale k**a nyie tamaa yako ya kuona $ 6000 ni hela nyingi rusia ulihama uzito na ndio imefanya Leo ukifanya mahojiano macho yako yana kutana. k**a mwakitara akinyonywa chuchu bado ulihitaji kufanyiwa operation ya macho macho yako mabovu tunajua utapata 50 M unazo taka na operation yako ya macho nitaisimamia mimi kabla au baada ya fight your time is coming βοΈ
27/12/2025
Binafsi sijawahi kuona dunian bondia kulaumiwa kwa kua na ngumi kali kilicho nitambulisha kwenye boxing dunian ni power punch π₯ hivyo sioni kua nina jukum la kumpimia mpinzani wangu kidogo dogo mpaka watu waridhike. Boxing ni mchezo wa kutafuta makosa k**a sheria ikiwa mnaona mpinzani alikua dhaifu je, hao walio onekana bora nini niliwafanya. Anyway mimi ni Nock out artist punch yangu ikiingia sehem yoyote ya mwili wa mtu atajua tu kua kapigwa kweli π boxers tunzeni nguvu zenu nock out haiji kwa rehema za Mungu ni kujitunza na Adabu ya mazoezi igeni mjifunze baada ya kuonyesha chuki za wazi yule bondia mwenye Rasta anatokwa maneno wakati mechi ya mwisho kapigwa na nasib sasa si ubora wake angeutumia angeshinda nock out na yeye πππ mfyuuu
24/12/2025
Sioni maneno mazuri ya kutosha kumwambia M/MUNGU kushukuru juu ya neema ya Afya uzima na ufiti nilio naoβ¦ kuelekea Dec26 ikimpendeza M/mungu akafanye ushindi wangu kuwa sehem ya faraja kubwa na matumaini kwa wengi walio zikatia tamaa, hustling zao ukawe matumaini na faraja kubwa kwa family zote zilizo poteza wapendwa wao na ukalete tabasam jipya kwa wagonjwa, wanyonge na maskini wote wa jamii zetu tuli nao π
hatoki chokoπ₯
19/12/2025
Naona wamekoma sasa kuweka mapambano siku moja sawa na mimi mamae πππ silipi mashabiki wala sikodishi Farasi, na bado wanauona mziki upendo wa kweli wa wanao nipa mashabiki umenipa Nguvu ya kusimamisha ligi na mtu yoyote yule anae ni jarbu kwenye hii industry # nikamfanya akajiona sawa na lokole alie beba uja uzito π₯· save the date π₯ wasena ninafsi naona siku hazifiki πͺπΎ
14/12/2025
Yame salia masiku machache tu kwenda kumpa mtoto wa mtu fully body massage yaani huduma ya massage ya mwili Mzima π€ ni warehouse hatoki choko πͺπΎ
09/12/2025
wasena kwetu hakutoki fala wala machoko k**a mlivyo zoea kusema December 26 Kila mwenye macho ukweli ata uwona ni boxingonboxingDay # πͺπΎ hii ndio family Alie toa agizo na alie pokea wote hawata amini watakacho kishuhudia π₯·