Masuguru Fc

Masuguru Fc

Share

Ukurasa rasmi wa timu ya mpira wa miguu ya MASUGURU..|

Tupo Korogwe, Tanga.

27/05/2026

EID MUBARAK🕌🌙


10/05/2026

HERI YA SIKU YA MAMA DUNIANI🤱


06/05/2026

TANZIA💔

Mwenyezi Mungu akupokee mama yetu.

Tuungane kuwafariji wenzetu katika kipindi hiki kigumu🙏



01/05/2026

HERI YA SIKUKUU YA WAFANYAKAZI DUNIANI...👨‍🔧👷‍♀️🧑‍⚕️👨‍💼

KULA KWA JASHO🙌



22/04/2026

TANGAZO🚨🚨🚨

22/04/2026

Baada ya kushinda mechi ya Kwanza. Leo tena tupo dimbani dhidi ya Majirani zetu (Mpango Mzima)🔥🔥

Korogwe District Football Association

05/04/2026

Heri ya sikukuu ya Pasaka kwenu wote🙏✝️

05/04/2026

HERI YA SIKU YA KUZALIWA NAHODHA🎂🎂

Happy birthday captain Dante🙌🫡

21/03/2026

EID MUBARAK 🕌🌙

Tukutane uwanjani kwetu baadae, burudan ya Eid itakuwepo pale USIKOSE🔥🔥


19/03/2026

EID BONANZA 2026🚨

K**a ulivyo utamaduni wetu sikukuu lazima tuisindikize na ulevi wetu usio na madhara kwa afya🔛

Karibuni wote tufurahie Eid na burudan yetu pendwa


18/03/2026

Ukiandama Tu kinawaka🔥🔥



Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Tanga?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Address


Masuguru
Tanga
615