07/03/2019
MAZINDE DAY FEMA CLUB WAMESHINE......:
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from FEMA CLUBS TANGA Network, Tanga.
07/03/2019
MAZINDE DAY FEMA CLUB WAMESHINE......:
tanga fema clubs tukutane Tanga 12/10/2018 kwenye tamasha la mkoa.
31/07/2018
Hakika walimu walezi wa Tanga fema clubs mko vizuri.
05/04/2018
Ukali wa kijinsia sasa baaasi.
Katika kueleka kufungua shule, tunaanza na 1.Uzinduzi Kwemdimu Fema club
2.Tamasha la Vijana ngazi ya shule ukanda wa Mazinde
4.Uzinduzi Mwisho wa Shamba,
4. Uzinduzi Kwagunda, Mbagai
5. Tamsaha la Vijana Hale na Kuzindua Shamba la Kubwa la Club
6.Mnyuzi sports Bonanza na Mdahalo wenye Mada ya Ukatili wa Kijinsia.
7. Tour kwa wahitaji Dadaz Fema Club, korogwe Girls
Asante wadau kwa hizi taarifa naamni tutafika kupeana Support tulio karibukaribu, lakini kwa wadau wengine k**a unatukio lengine tuambie tutafika tuuu.....
NB haya yote ni Maandalizi ya kuelekea Tamasha la Mkoa, naona naulizwa sana Tanga lini, kwa kipindi hiki tujijenge kwanza ili Mambo yaje kuwa🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Tuendelee kuhakiki taarifa Zetuuu........