03/05/2025
Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Selemani Shempas, Khamad Mkapa, Moses Mgenje
🧩🧩Sports update, transfer and sports news ⚽⚽⚽ Daily update. Whatsapp no 0786074958
03/05/2025
Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Selemani Shempas, Khamad Mkapa, Moses Mgenje
19/03/2025
🚨WINGA TISHIO NA HATARI ZAIDI KUWAHI KUTOKEA DUNIANI KUTUA FC BAYERN MÜNCHEN🚨
Uongozi wa klabu ya FC Bayern München umevutiwa na kiwango cha Winga tishio na hatari zaidi kuwahi kutokea Duniani raia wa Brazil 🇧🇷 Antony Metheus dos Santos tangu ajiunge na klabu ya Real Betis Balompié katika dirisha dogo la usajili Kwa mkopo mpaka mwisho wa msimu huu.
FC Bayern München wamepanga kumsajili mchezaji huyo na hivi karibuni wataanza mazungumzo na klabu yake ya Manchester United Ili kuangalia namna ya kukamilisha usajili wa mchezaji huyo ambae kwa Sasa ana kiwango Bora sana tangu atue Betis.
Klabu ya Real Betis Balompié inahitaji kumsajili mchezaji huyo moja kwa moja pia lakini upinzani mkubwa wa FC Bayern München utawapa changamoto ya kukamilisha matakwa yao,FC Bayern München wana pesa nyingi kuliko wao.
Credit: Transfer News Live
FOLLOW US.
19/03/2025
Afisa Habari wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania akikabidhi mipira kwa Afisa wa Idara ya Ufundi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), Kassim Bechina, k**a mchango wa Bodi ya Ligi katika kufanikisha maandalizi ya timu za soka za taifa ikiwemo
Bodi imekabidhi mipira hiyo 80 leo Machi 19, 2025 ikiwa ni mara ya pili ambapo mwaka jana ilikabidhi mipira 100.
05/02/2025
Hakuna neno lingine utakalo sema zaidi ya Yanga walikuwa bora zaidi ya Ken Gold “Total Dominance” 🙌
Kirahisi kabisa Prince Dube angeondoka na mpira leo two chance tena yeye na kipa anakosa . Clement Mzize ameacha miguu izungumze zaidi “anaongoza kwenye mbio za ufungaji bora 👏.
Diarra hii clean sheet amekosa mwenyewe tu!.. rahisi mpira angeupa ng’azi utoke nje (Punch 🧤) . Master Ki ni namba 10 bora ndani ya ligi yetu “CLASSY” 🔥
Wananchi wanasema wametuma Salam 😀
05/02/2025
Ni K**a Ken Gold hawakuwa tayari kucheza hii game !.. body language yao inatoa majibu kabisa , hawafanyi pressing wasipokuwa na mali , wanatembea kiwanjani wakipoteza mpira + makosa binafsi yapo mengi sana (Individual Error )
Ni Yanga wenyewe wanafunga ngapi !.. flow yao ipo perfect sana , kila mchezaji anaonesha kupambana uwanja …. Dakika 45 za kwanza mtu kala 4 .
Aziz Ki “Masterclass” akiwa na mali anafanya vitu vitokee 🙌 K**a Vipi Ken Gold wasirudi uwanjani 😀
01/02/2025
Kikosi cha Yanga kinacho anza leo dhidi ya Kagera Sugar
Follow Sports site
01/02/2025
🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇𝐃𝐀𝐘🔰
🏆
⚽️ Young Africans SC🆚Kagera Sugar
📆 01.02.2025
🏟 KMC Complex
🕖 10:00 Jioni
01/02/2025
🚨Asec Mimosas things !!!🔥🔥🔥🔥...
-Uliondoka Utawala wa Stephan Aziz Ki ....wakaziba Pengo ilo kwa Utawala wa Pacome Zouzoua
-Ukaondoka utawala wa Pacome Zouzoua ,Wakaziba pengo na Utawala wa Arthur Bada
-Ukaondoka Utawala wa Arthur Bada ,Pengo lake likazibwa na Maestro Célestin Ecua ambaye naye tayr anafanya yake huko Asec...
🇨🇮Célestin Ecua ,one to watch ...Mule kuna mali sana ....✅.
01/02/2025
Golikipa wa Kagera Sugar, Ramadhani Chalamanda ametaja magolikipa wanne (4) wenye uwezo mzuri wa kutumia miguu na kuanzisha mashambulizi:
1. Djigui Diarra
2. Ramadhani Chalamanda
2. Abdultwalib Mshery
4. Pinpin Camara
Hiyo Ndiyo nne bora kwake kwenye Ligi kuu ya NBC...
01/02/2025
⭕... As Vita Club 🇨🇩 imekamilisha uhamisho wa kiungo Mshambuliaji wa kimataifa wa South Africa 🇿🇦 na Skudu Makudubela mwenye umri wa miaka 34 akiwa mchezaji huru baada ya kuachana na Young Africans SC 🇹🇿 kwa Mkataba wa Miezi 08.