SIMBA MPYA

SIMBA MPYA

Share

Burudani inapatikana

07/07/2024

🚨 DEAL DONE: Simba SC imethibitisha kuinasa saini ya mlinzi wa kati Karaboue Chamou raia wa Ivory Coast šŸ‡ØšŸ‡® kutoka klabu ya Racing Club d’ Abidjan kwa mkataba wa miaka miwili.

Karaboue ana urefu wa futi 6.2 na yuko vizuri kwenye kucheza mipira ya juu kuzuia na kuanzisha mashambulizi.

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Tanga?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Website

Address


Tanga