Amazon All Stars FC

Amazon All Stars FC

Share

Football Home of Talents.

28/06/2026

πŸ‘‘ KOMBE NI LETU! πŸ†

AMAZON ALL STARS 1️⃣–0️⃣ PLAN 2

Leo si hadithi tena, ni historia! Sisi ndio Mabingwa wa Kombe la Diwani 2026.

16/06/2026

πŸ† TUMEFUZU FAINALI! πŸ†

15/06/2026

Nusu Fainali

Amazon All Stars vs Banyamulenge

Ni Leo!

12/06/2026

Vipaji vya leo, nyota wa kesho! 🌟⚽

08/06/2026

Safari imeanza rasmi! βš½πŸ†

Amazon Youth.

16/10/2025

Baada ya kupata habari kua kivuko cha Pangani kimeharibika, Mwenyekiti wa Chama cha mpira wa miguu Mkoa kuthibitisha hili mchezo kati ya BEACH BOYS VS AMAZON umehairishwa mpaka Itakapotolewa taarifa nyingine.
next..
AMAZON v/s MZINGANI
Tarehe : 20/10/2025
Uwanja wa Ibadan Mwakidila.

02/07/2025

Ushindi wa nne mfululizo.

FULL TIME

EAGLE ACADEMY 0 - 1 AMAZON u15

Photos from Amazon All Stars FC's post 02/07/2025

Maana ni bora Zaidi ya Tafsiri!!

Photos from Amazon All Stars FC's post 29/06/2025

Safari za Mbwa nyingi Hazina mualiko!



Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Tanga?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Website

Address


Tanga