17/07/2025
Kibu Denis ni mchezaji bora kwa sasa Africa nzima.
Dili la kutua yanga likitimia basi tutakuwa tumefanya sajili bora sana kuwahi kutokea.
SIMBA NGUVU MOJA πͺπΎ
#πππππ πππππππ₯
SIMBA CAF FANS. π¦
17/07/2025
Kibu Denis ni mchezaji bora kwa sasa Africa nzima.
Dili la kutua yanga likitimia basi tutakuwa tumefanya sajili bora sana kuwahi kutokea.
15/07/2025
Wanamsimbaziiii
βNdoto yangu bado ni ile ile ya kuipa Simba ubingwa wa Ligi ya Mabingwa Afrika! Kutoka 2018 hadi leo nimewekeza Shilingi Bilioni 45 kwa ajili ya Mishahara, Usajili na mahitaji mengine ya uendeshaji. Pia nimechangia Bilioni 20 K**a sehemu ya ununuzi wa hisa 49% ndani ya Simba SC. Mara nyingi nimetoa pesa nyingine za dharula Bilioni 22β
Mo Dewji Tajiri
09/07/2025
Kibu Denis ameanza majaribio ya wiki mbili na klabu kubwa ya MLS πΊπΈ
Simba SC wamemruhusu winga wao kufanyiwa tathmini kabla ya klabu hiyo kutuma ofa rasmi. Kibu anataka kucheza Marekani kuwa karibu na familia yake. πΊπΈ
Pia ana ofa kutoka RS Berkane π²π¦, MC Alger π©πΏ na Al Ahli Tripoli π±πΎ.
Mkataba wake na Simba umebakisha mwaka mmoja β hatopatikana bure. π΄π¦
Abuy Khan
08/07/2025
Takwimu zinaongea π―
07/07/2025
π¨ Klabu ya Simba imeachana rasmi na golikipa wao Hussein Abel mara baada ya msimu kumalizika huku mchezaji huyo akishindwa kupata nafasi ya kucheza.
Aish Salim manula atumeshamaliza naye ametimkia Azam
Wanamsimbaziiii Simba Mpya inakuja πͺπΎπ―
07/07/2025
Wanamsimbaziiii
JE WANAJUA ;Timu hizi hazitaanzia hatua ya Awali Ligi ya mabingwa Afrika msimu ujao
πͺπ¬ Al Ahly.
πΏπ¦ Mamelod Sundowns.
πΉπ³ Esperance.
π²π¦ Rs Barkane.
πΉπΏ Simba Sports Club.
Wataanzia hatua ya kwanzaβ
07/07/2025
Mwamba Muite Captain NGOMA πͺπΎ
06/07/2025
Wanamsimbaziiii Tajiri ameamua
Je unakubaliana na maneno ya Tajiri Comment Yes or No
Mimi Yesπ―
Nimeamua kujikita kwenye MZIKI maana hii Simba itanipa kisukari
06/07/2025
Return of Simba π―
Bodi ya Wakurugenzi ya Simba imekutana na Bodi ya Washauri ya kujadili mambo mbalimbali ya klabu ikiwemo tathmini ya msimu uliopita na mipango ya msimu ujao ikiwemo usajili.