Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Kipemba Pixel Tz, Matoke Onchieku Kevin, Collins Murrey
Wakunungu sports
Sports news
hi
Kido Sports Sports
16/08/2021
Alichoandika Baada ya Simba kuthibitisha kuwauza chama na Luis.
🤦♂️🤦♂️🙏🙏Msimu ujao wa Mashindano 2021/2022, ni rasmi Simba SC, itawakosa wachezaji wake mahiri mno Luis Jose Miquissone na Clatous Chota Chama.
😔Ligi kuu soka Tanzania bara itachezwa bila Chama na Luis. Tutawa-miss🙌
🇹🇿Tanzania haitashuhudia tena vipaji hivi murua kutoka Zambia na Msumbiji🥱
🎙🎙🤦♂️Commentators hatutangaza tena uhodari wa Chama na Luis.
🥲🥲Ooops!….dhahiri tumeondokewa na nyota wa maana sana, lakini football ni biashara kubwa kwa sasa, Simba SC imepaswa kufanya uamuzi sahihi wa kuwauza kwa sababu Mkwanja ni mrefu mno.
💪💪🔥🔥Hongereni Simba kwa kufanya biashara nzuri sana ya Chama na Miquissone, bila shaka wachezaji mliowasajili wataweza kuvaa viatu vyao.
💪💪Binafsi, nawapongeza na kwa walichotoa kwa Simba na Tanzania, kwa muda wote walitufundisha jinsi gani mchezaji wa Kigeni anatakiwa kuwa.
Naamini vijana wetu wa Kitanzania wamejifunza kutoka kwa wawili hawa.
🙏🙏🙏Asante Mwamba wa Lusaka Chama, Asante Konde Boy Miquissone.
👍Neno moja la kuwaaga tafadhali💪
Baraka Mpenja
Commentator-Azam TV
16/08/2021
10/08/2021
*🔥🔥🔥KAMPUNI YA UHAKIKA CRYPARENA🔥🔥🔥*
Jisajili 👇👇👇👇
https://cryparena.com/signup?pos=R&cid=CRYP8K8523
Ni kampuni inayolipa faida ya 1.8% mpaka 3.5% kutokana na utofauti wake Uliopo kwenye vifurushi vyake.
➡️Kiwango cha chini cha kuwekeza ni $25 sawa na elfu 62500/= za kitanzania na kiwango cha mwisho kabisa kuwekeza ni $100,000 sawa na 250,000,000/= za Tanzania.
*Mchanganuo wa vifurushi uko k**a ifuatavyo;* 👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻
➡️Kifurushi cha kwanza kinaitwa ALT ALPHA(25$ to 20000$) ambacho ni kuanzia $25 sawa na elfu 62,500/= mpaka $5000 sawa na million 10. Hapa unalipwa 1.8% hadi 2% ya pesa uliyowekeza ambayo inadumu kwa siku 120 za mkataba.
▶️Ukiweka 62,500/= unalipwa 1125/= kwa siku.
▶️Ukiweka 100,000/= unalipwa elfu 1800/= kwa siku.
▶️Ukiweka 200,000/= unalipwa elfu 3600/= kwa siku
▶️Ukiweka 400,000/= unalipwa 72,00/= kwa siku.
➡️Ukiweka 500,000 unalipwa 9000 kwa siku
➡️ukiweka 1,000,000 unalipwa 18,000 kwa siku
➡️ukiweka 5,000,000 unalipwa 90,000 kwa siku,
➡️ukiweka 10,000,000 unalipwa 180,000 kwa siku
Na kuendelea na vifurushi vingine......
NB: KUMBUKA MKATABA HUU NI SIKU 120 ZA KAZI JUMATATU HADI IJUMAA.
➡️Kifurushi cha pili kinaitwa ALT AQUA(20500$ to 50000$)
Katika kifurushi hiki unalipwa asilimia 2.5% hadi 2.7% ya pesa ako ambayo itadumu kwa muda wa siku 100.
➡️Kifurushi cha tatu kinaitwa ALT AMAZE(50500$ to 100000$)
Katika Kifurushi hiki unalipwa 3.25% hadi 3.5% ya pesa yako ambayo hudumu kwa muda wa siku 80.
✅Malipo ni Jumatatu hadi Ijumaa ila malipo ya bonus ni siku yoyote k**a unastahili kupata kwa kualika mtu n.k
✅Kiwango cha chini cha Uwekezaji:$25
✅Bonasi ya kumualika mtu direct:8% hadi 10%
✅Bonasi ya binary/commission:10%
✅Makato ya kutoa pesa nje ya kampuni,( withdrawal charges) kwa njia zilizoainishwa na kampuni ni 7% ya kiwango unachotoa
✅Kiwango cha chini kutoa pesa( minimum withdrawal:$10
Njia za kufanya malipo katika kampuni na kulipwa baada ya kutoa pesa.
🔄BITCOIN
🔄LITECOIN
🔄ETHEREUM
🔄DOGE COIN
🔄PERFECT MONEY
Cryparena Join the best Crypto based Investment Platform
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Telephone
Website
Address
Temeke