Kojogo_tz

Kojogo_tz

Share

KWA HABARI MAKINI ZA SOKA NA MUSIC

07/08/2025

Rasmi sasa simba day itakuwa tarehe 7 ya mwezi wa 9 pale pale benjamin mkapa dar es salaam

wanasimba kumbuka pia jezi mpya kuzinduliwa tarehe 25 mwezi wa 8

Simbanguvumoja

10/03/2025

Jamani tuweni makin sana πŸ™„πŸ™„

10/03/2025

Mnyama simba mawindoni tena kukabiriana na TMA pale kmc complex katika kombe la crdb...

23/12/2022

Jitu la mtumba

Mwamba hapoi hata kidogo....

23/12/2022

🚨 Cristiano Ronaldo tayari amewasili katika uwanja wa ndege wa Riyadh nchini Saudi Arabia.

Yuko tayari kukutana na vionngozi wa klabu ya Al-Nassr.

Chanzo; Foot Mercato)

23/12/2022

LUIS MIQUISSONE AIKUBALI OFA YA YANGA

Nimearifiwa kwamba Nyota wa zamani wa Simba Luis Miqusson amekubali ofa ambayo amepewa na uongozi wa Yanga na yuko tayari kusaini mkataba wa miaka mitatu na miamba hao wa soka la Tanzania.

Simba walipeleka ofa lakini walikuwa hawataki kulipa fedha zote walikuwa wanataka kulipa kidogo kidogo ila Eng Heris amemwambia yeye atalipa fedha zote ambazo Miqusson anataka

Mpaka sasa wanasubiriwa tu Al ahly wafanye maamuzi ila tayari kila kitu kipo tayari kwa Miqusson kutua Jagwani

02/08/2022

π’πˆπŒππ€ π˜π€π‡πˆπ“πˆπŒπˆπ’π‡π€ 𝐏𝐑𝐄-π’π„π€π’πŽπ πŠπˆππ€ππ„

βžͺSimba imehitimisha wiki tatu za maandalizi ya pre-season nchini Misri, kikosi kikiwa mbioni kurejea Tanzania

βžͺJana Simba ilicheza mchezo wa mwisho wa kirafiki dhidi ya Al-Kholood na kuibuka na ushindi wa mabao 2-0

βžͺTangu ilipoweka kambi katika mji wa Ismailia, Simba imecheza mechi nne za kirafiki, imeshinda michezo miwili, kupoteza mchezo mmoja na sare mchezo mmoja

βžͺWalilazimishwa sare ya bao 1-1 na wenyeji wao Ismailia kabla ya kuibamiza Abuhamad mabao 6-0

βžͺMchezo pekee waliopoteza ni dhidi ya Haras El Hodoud wakifungwa mabao 2-0

βžͺKocha Mkuu wa Simba Zoran Maki alihitaji michezo hiyo ili kuwaangalia wachezaji na kuimarisha maeneo yenye mapungufu

βžͺMaki alipendekeza maboresho akihitaji mshambuliaji na kiungo, Simba itatangaza usajili wa wachezaji wengine wapya wiki hii DIBAH Sports News nathibitisha hili.

βžͺKiungo Nelson Okwa kutoka Rivers United anatajwa kutua Msimbazi pamoja na mshambuliaji Cesor Lobi Manzoki ambaye Simba iko kwenye majadiliano na Vipres Fc ili kukamilisha usajili wake, na k**a mnakumbukumbu nilishathibitisha Usajili wa manzoki na Huenda akatambulisha

βžͺKikosi cha Simba kinatarajiwa kurejea jijini Dar es salaam August 04 kukamilisha maandalizi ya SIMBA DAY.

20/07/2022

MWAMBA JEHURI IMEZAMANA NA MPIRA WAKE

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Temeke?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Website

Address


Mbagala
Temeke