Maputo Jogging

Maputo Jogging

Share

maputo jogger run for development

01/03/2016

Kisa dem

13/08/2015

watoto wadogo wanataka sifa eti paaaa wanatujambisha

17/07/2015

Wadau wa maputo jogger wazee wa ngumu kubaa jumapili k**a kawa tuwe wengi na tuzindue tawi letu jipyaa pamoja saba izi ni ngumu.... ngumungumu....

Photos from Maputo Jogging's post 10/07/2015

At kitaa

coco 09/09/2014

k**a kawa maputo ndo sisi wenginew?????????????,,,,,,,,,,,,,,, nadhani jibu unalo

22/06/2014

bonanza la leo ilikua njema sana au sio??????

Photos 05/06/2014

Wanachama wa Maputo jogger chagua moja kati ya nembo izi apa chini ni ipi inayo tufaa kuitumia katika kundi letu ili tuweze kusajili. Andika namba ya nembo uipendayo kisha tuma k**a comment,,,,,,,,,,,

04/06/2014

tujitahidini jamani ile michango ya shughuli za ndugu zetu kabla ya talehe kumi uwe umewasilisha mchango wako fulaha yao ndo fulaha yetu.... wanatuita maputo______ washamba________

15/05/2014

K**a ilivyo pangwa wana Maputo jogger week end hii kutakua na uchaguzi wa viongoz katika nyazifa mbambali wanachama wote wa Maputo jogger mfike bila kukosa na list ya wanachama wote itachuliwa tuuzulie bila kukosa wanatuita Maputo________????

13/05/2014

Leo k**a kawa wana Maputo jogging tukutane saa nne kwa ajili ya kukutana na watu wa cloud TV ucsahau kuvaa Jezi iwe brue au nyeupe

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Temeke?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Address


Temeke
56036