07/10/2026
KITENGE: Watu wanauliza kwanini wao wanaongea alafu ninyi mpo kimya?
ALIKAMWE: Tuseme nini wakati wameshatupa asilimia kumi tu za kushinda? Tunasubiri tu kwenda kufungwa.
Simba wanauliza kwanini Yanga mpo kimya au hamchezi........ππππ?