Basics are the best foundation for our youth
Regional Academy
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Regional Academy, Mombasa.
Watoto wetu walichaguliwa kuwa Mascots kwenye mchezo wa
Mombasa United 0 π Migori Youth 0
π₯ Ulikuwa mchezo mzuri sana
π Watoto walifurahia na kujifunza mengi
β½ Experience ya kipekee kwa vijana wetu
π Asanteni sana Mombasa United kwa kuwapa vijana nafasi hii muhimu
πͺ Tunawatakia kila la kheri mechi zilizobakia
π Next stop: Premier League
Rate which one is the best goal
The future is bright
Build up from the back. What a goal
βbeautiful footballβ β½π
Nyota njema huonekana asubuhi β
Idara ya makipa (GK department) imepata fursa adhimu ya mafunzo maalum kutoka kwa Hassan Almady maarufu k**a Kipapa, aliyewahi kuwa kipa wa kimataifa. Amecheza soka hapa nchini Kenya pamoja na taifa la Qatar.
Mafunzo haya yameongeza ujuzi, uzoefu na motisha kwa makipa wetu chipukizi kuelekea kufikia viwango vya juu zaidi.
Asante sana na karibu daima hasaan Almady Hassan Al Maddy
Ni ardhi gani ilipata kupigwa na jua mara moja mpka sasa haijawahi pigwa na jua ???
Regional Ramadhan Quiz Challenge 2026
12/03/2026
Regional Family Iftar 2026
Nyote mwakaribishwa..!!
Je, tuko tayari kushindana katika kufanya kheri? kusamehe na kujirekebisha?
Juma mubarak
Ramadhan Mubarak wa Saum Maqbul π
May this blessed month bring peace, mercy, and countless blessings to you and your family's.
08/02/2026
πβ½ U13 HISTORY MAKERS β 2025 β½π
The year 2025 was truly wonderful and Memorable for our U13, making history by reaching 4 finals in a row in 4 major tournaments ππ₯
ππ₯ Inua Talanta Tournament
ππ₯ Boss Youth Tournament
ππ₯ Back to School Tournament
ππ₯ Alfarsy Youth Tournament
This achievement reflects your hard work, discipline, talent, strength, and determination πͺπ
Keep pushing, stay focused, and aim even higher β many more wins are coming, In shaa Allah π€²β¨
We are super proud of you boys π«‘β€οΈπ₯
The future is bright! πβ½
Our Gk trainer
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Telephone
Address
Mombasa