19/06/2024
Very sad inasikitisha sana. Allah awape subira wazazi walezi walimu wapenzi wa mtoto huyu asie na hatia kapewa adhabu kali sana bila ya hatia.
HUZUNI: MTOTO ALBINO ALIYEIBWA KWAO MAY 30 2024 AKUTWA AMEUAWA NA KUKATWA BAADHI YA VIUNGO
16/06/2024
Leo ni siku ya Mtoto wa Afrika, mtoto alindwe, mtoto apendwe, mtoto afunzwe, na sio kuonyesheana vidole ila alindwe dhidi ya maendeleo ya teknolojia na utandawazi. Mola mlinde Mola muongoze mtoto wetu.
09/11/2023
Bush anatutangazia hapo Kilimani City FC mechi nyengine ni Jumaatatu Novemba 13, karibuni wote.
09/11/2023
Kilimani City FC 0 - 0 Raskazone F. C.
16/10/2023
Matokeo ya Jumapili Kilimani City 1-3 Umoja FC Kubwa lijalo endelea kutusupport kwa kufuatilia timu yako pendwa hapa visiwani Zanzibar.