Mtembezi news

Mtembezi news

Share

live updates of sport events

Photos from Mtembezi news's post 25/11/2021

Christmas hiyoo! Na Vitu vizuri hivyo bei poa kabsa

10/11/2021
Photos 06/11/2021

☣️ Tunafurahi kumtangaza Pablo Franco Martín kuwa Kocha Mkuu wa timu yetu.

Taarifa zaidi kuhusu Kocha Pablo inapatikana kwenye Simba App.

06/11/2021

⛔️ Hakuna tena muda wa kusubiri.

🆕 Kocha Mkuu mpya wa mabingwa wa nchi tutamtangaza saa 2:00 usiku kupitia Simba App.

Unaweza kubashiri jina la kocha huyo❓🤔

Instagram Photos 03/11/2021
03/11/2021

Simba pambaneni

Photos 01/10/2021

Siku nyingine ya wapambanaji wetu kushuka dimbani 🏟

Photos 08/09/2021

Kwa Tsh. 200,000 pekee utapata huduma bora na za kipekee katika siku yetu Wanasimba 🔥 𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐃𝐀𝐘 𝟐𝟎𝟐𝟏 🔥

Tupigie sasa kwa namba +255 742 771 311 ili upate tiketi yako.

08/09/2021

RASMI: TP Mazembe ndio wageni wa klabu ya Simba kwenye tamasha la Simba day Septemba 19, 2021.

✍️ kipute kitapigwa uwanja wa Mkapa na hiyo ndo siku ambayo Simba itatambulisha wachezaji wapya mbele ya mashabiki wake.

Simba vs TP Mazembe ✍️

Photos from Mtembezi news's post 15/07/2021

VITU VIKALI HIVYO WE CAN TALK

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Zanzibar?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Website

Address


Zanzibar