WADFA Magharibi a

WADFA Magharibi a

Share

Chama Cha Mpira wa Miguu Wilaya ya Magharibi A Unguja

29/06/2023

Eid Mubarak

Photos from WADFA Magharibi a's post 18/05/2023

TAARIFA: Kamati Tendaji ya Chama Cha Mpira wa Miguu Wilaya ya Magharibi A kimefanya kikao Cha kuteuwa Kamati mbali mbali ambazo zitashirikiana nazo katika kuendesha Mpira ndani ya Wilaya yetu.
Kamati zenyewe k**a zifuatazo:-
1. Kamati ya Ligi
2. Kamati ya Ufundi
3. Kamati ya soka la Vijana (Central)
4. Kamati ya Rufaa
5. Kamati ya Waamuzi
6. Kamati ya Habari na Masoko

Photos from WADFA Magharibi a's post 15/05/2023

Kamati Tendaji ya Chama Cha Mpira wa Miguu Wilaya ya Magharibi A kimefanya kikao Cha kujadili mambo mbali mbali yanayohusu maendeleo ya Mpira katika Wilaya yetu.

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Zanzibar?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Website

Address


Chuini
Zanzibar