New Life Exercise Club

Directions Contact the business

New Life Exercise Club Ni kikundi cha mazoezi kinachofanya mazoezi yake ngazi mia beach,maeneo ya migombani.

24/06/2021

Island na Newlife wamefanya mazoezi ya pamoja yenye lengo la kujenga mshikamo.

Kwa niaba ya viongozi wa club tunaenda kutoa pole kwa mwanachama wetu bi flora kwa kupata mshtuko wa moyo alipokuwa kwen...
22/06/2021

Kwa niaba ya viongozi wa club tunaenda kutoa pole kwa mwanachama wetu bi flora kwa kupata mshtuko wa moyo alipokuwa kwenye mazoezi.

Umoja ndio ngao ya newlife

12/06/2021

Vibe la weekend

Changia damu okoa maisha yako,Tarehe 14/6/ ni siku ya uchangiaji damu Duniani.Sisi ni wadau wakubwa wa kuchangia damu,tu...
08/06/2021

Changia damu okoa maisha yako,Tarehe 14/6/ ni siku ya uchangiaji damu Duniani.

Sisi ni wadau wakubwa wa kuchangia damu,tunakukaribisha ewe mdau wetu kuitumia siku hii kuchagia damu popote pale ulipo.

Tarehe 29/09/ kila mwaka dunia huwa inaadhimisha siku ya moyo,sisi New life kwa kutambua umuhimu wake tunapenda kukumbus...
08/06/2021

Tarehe 29/09/ kila mwaka dunia huwa inaadhimisha siku ya moyo,sisi New life kwa kutambua umuhimu wake tunapenda kukumbusha kuwa mazoezi ni moja ya sehemu inayoweza kusaidia moyo wako kuwa salama kwa kujiepusha na maradhi mbali mbali.

Mazoezi ni afya
05/06/2021

Mazoezi ni afya

Tumeshiriki matembezi leo tarehe 29/5/2021,yalioanzia mazizini hadi mwanakwerekwe jitimai ya zamani..Matembezi hayo yame...
29/05/2021

Tumeshiriki matembezi leo tarehe 29/5/2021,yalioanzia mazizini hadi mwanakwerekwe jitimai ya zamani..

Matembezi hayo yameandaliwa na Nufaika Exercise club.

28/05/2021

Mazoezi ni afya,jenga mwili wako kwa kufanya mazoezi angalau mara tatu kwa wiki.

Tunakukaribisha newlife ili kuujenga mwili na magonjwa mbalimbali

26/05/2021

Mazoezi ni afya,tunachukua fursa hii kukukaribisha katika mazoezi,tupo mnara wa mbao ilipokuwa skuli ya highview.

26/05/2021

We're back

Address

Mnara Wa Mbao Migombani
Zanzibar

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when New Life Exercise Club posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to New Life Exercise Club:

Shortcuts

Share

Category