Foot Swahili

Foot Swahili

Share

Foot Swahili ni page inayokuletea habari za soka ulimwenguni bila kubagua ⚽️ πŸ€

12/02/2025

πŸš¨πŸ†• Marc Cucurella kuhusu uhamisho wake ulioshindwa kwenda Manchester City mwaka 2022:

"Walikuwa na moto, moja ya timu bora zaidi duniani. Nilitaka sana kwenda. Wanapokuja wakipiga simu k**a walivyofanya, Guardiola anapokuuliza, ungepiga magoti ikiwa ungelazimika kufanya hivyo.

Lakini vilabu havikuweza kufikia makubaliano. Brighton ilikuwa na madai makubwa, na haikuwezekana."

[kupitia Informe Plus ]

Admin mkuu Benjamin Abisemba

12/02/2025

πŸ’£| BREAKING NEWS πŸ—žοΈ :

Zidane ndiye chaguo pekee la Real Madrid ikiwa klabu itapendelea kubadilisha kocha katikati ya msimu.

βœ…πŸ‡«πŸ‡·

Admin mkuu Benjamin Abisemba

12/02/2025

Breaking news πŸ—žοΈ

πŸ‡ͺπŸ‡¨ Arsenal wamefikia makubaliano na Independiente Del Valle (klabu ambayo HincapiΓ©, Caicedo, na Pacho wametokea) kwa ajili ya kusaini mapacha Edwin na Holger Quintero wenye umri wa miaka 16.

Mkataba huo utaanza mwaka 2027, katika siku yao ya kuzaliwa ya 18.

Chanzo :

Admin mkuu Benjamin Abisemba

10/08/2023

Jude Bellingham πŸ’ͺπŸ†

07/17/2023

Jumamosi July/22/2023

Match :
FFU vs Ujanja FC

09/26/2022

πŸ’¬ β€œNini kinamtokea Mwamnyeto? Sifahamu. Ninachojua anapitia wakati mgumu. Hachezi vizuri. Ana makosa mengi. Ukabaji wake pia ni duni. Haishangazi kuona Kocha Nabi kwa sasa analazimika kumrudisha Bangala kucheza sambamba na Job katika nafasi ya beki ya kati.”

- Edo Kumwembe.

Admin mkuu Benjamin Abisemba

09/26/2022

Kocha Nabi ashtushwa kufungiwa Morrison

β€œNilipata hizo taarifa zilinikuta nikiwa mezani na familia, ziliniumiza sana, kwa mechi zilizo mbele yetu Kocha yoyote angependa kuwa na wachezaji wake wote. Kuna kitu ambacho huwa Kinanishtua sana naona k**a timu yangu inaandamwa sanaβ€πŸ˜¬

Admin mkuu Benjamin Abisemba

07/22/2022



Uwanja wa klabu ya Atletico umebadilishwa jina lake na kuitwa sasa CIVITAS METROPOLITANO badala ya Wanda Metropolitano.πŸ‡ͺπŸ‡Έ

Admin mkuu Benjamin Abisemba

07/22/2022

"Wakati Nchi yetu inataka kurudisha mchakato wa katiba mpya, nadhani hata pale (TFF) nako tutafute katiba mpya"

"Mamlaka ya (TFF) hayapaswi kuvuka mipaka ya Nchi. Mnamfungia hadi nje ya Nchi kwa sheria ipi ?"

"Mara mama kamteua (Manara) kuwa Mbunge, mara mama kamteua tena kuwa Waziri wa michezo !"

"Kifungo cha miaka miwili na faini ya Tsh 20 Milioni, ni adhabu iliyojaa chuki na kukomoana"

"Kuanzia aliponyimwa tuzo ya mhamasishaji bora, inakupa picha ya moja kwa moja juu ya chuki ya watawala wa mpira wetu dhidi yake"

-Mchambuzi wa soka,Oscar Oscar Jnr

Admin mkuu Benjamin Abisemba

07/22/2022



Kiungo wa klabu ya Simba Sc πŸ‡ΉπŸ‡Ώ Pape Ousmane Sakho πŸ‡ΈπŸ‡³ ameshinda tuzo ya goli bora la CAF.

Goli hilo alifunga dhidi ya Asec Mimosas katika mchezo wa hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho barani Afrika.

Admin mkuu Benjamin Abisemba

07/22/2022



Sadio Mane πŸ‡ΈπŸ‡³ ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa mwaka 2022 wa bara la Afrika katika tuzo za CAF.

βœ… Hii ni mara yake ya pili mfululizo kutwaa tuzo hiyo.

Admin mkuu Benjamin Abisemba

07/22/2022



Kamati ya Maadili ya Shirikisho la soka Tanzania (TFF) leo imetoa maamuzi kuhusiana na sekretarieti kufungua kesi katika k**ati hiyo dhidi ya afisa habari wa Yanga Haji Manara.

Kamati ya maadili ya TFF imemkuta na hatia Haji Manara na kumfungia miaka miwili kutojihusisha na soka ndani na nje ya nchi na faini ya Tsh milioni 20 kwa makosa ya kumvunjia heshima Rais wa TFF Wallace Karia

Haji Manara alipishana kauli ya Rais wa Shirikisho la soka Tanzania (TFF) Wallace Karia katika eneo la VVIP wakati wa mchezo wa fainali ya Kombe la ASFC kati ya Yanga dhidi ya Coastal Union.

Admin mkuu Benjamin Abisemba

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Kansas City?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Address


Kansas City, MO
64124

Opening Hours

Monday 6am - 6pm
Tuesday 6am - 6pm
Wednesday 6am - 6pm
Thursday 6am - 6pm
Friday 7am - 5pm
Saturday 7am - 12pm