Mlimani Football CLUB

Mlimani Football CLUB

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mlimani Football CLUB, Professional Sports Team, Miami, FL.

12/01/2022
10/21/2021

Mimi ndo nilie mtoa fahmi kutoka kiungo hadi kuwa beki kisiki na tishio Mwarabu roho chuma ilikuwa huwezi pita hovyo hovyo nakumbuka ligi ya ema Cup tulikuwa na kiwango bora Sana tulichukua ubingwa bila kupoteza mchezo hata mmoja tukitoa mchezaji bora ambae alikua ni George amani wawa na mfungaji bora alikuwa ni majariwa Hassan bomba kocha bora ilitakiwa nipewe mm ila tuzo haikuwekwa ila kutokana na furaha niliyo kuwa nayo wala hilo sikujali moja ya game ngumu ilikua ni kati ya majengo fc vs mlimani fc hiyo game tulitoka sale hivyo ikaamliwa mikwaju ya penalty na shujaa wa mchezo alikua ni gorikipa yasini madinda alie okoa mikwaju miwili ya penalty hivyo tukasonga mbele kwa hatua iliyofuata game nyingine ngumu ilikua ni mlimani FC Vs London FC hii timu ilikua imesajili watu wa maana toka singida mchezo ulikua mgumu ashukuliwe George wawa na mpigaji wa ile faulo paulo mabula shija kwani aliipiga kiufundi ikamkuta wawa alie iparaza kiufundi ikajaa nyavuni na kutuandikia bao la pili na la ushindi # kocha mchezaji⚽

09/15/2018

JUMBE STADIUM pamenoga leo kutakua na mtanange mkali wa kukata na shoka pale pazia la ligi daraja la nne litakapo funguliwa mida ya saa kumi kamili kati ya MLIMANI FC vs BLUE SWALOUS nyote mnakalibishwa

05/05/2018

MLIMANI FOOTBALL CLUB ya MANYONI MJINI
itakua na safi ya kwenda kucheza mchezo
wa kirafiki KILIMATINDE itasafiri na vikosi
vyote viwili timu ya watoto ambao
wataanza kucheza mchana kisha timu
kubwa itaingia jioni kucheza ukiwa k**a
mdau au shabiki wa mlimani ukihitaji
kwenda mchango ni shilingi elfu tano
wahi mapema nafasi ni chache tutaondoka
na SUPER MAMUU mida ya kesho saa saba
mchana ukihitaji kwenda mcheki
mwenyekiti wa club 0762430901

Photos 12/19/2017

mechi kali ya leo ni kati ya timu ya MLIMANI FC vs STAND DORTIMUND za manyoni mjini muda ni saa 10:00 jioni uwanja ni JUMBE STADIUM wawi mapema upate tiketi yako mapema

Photos 12/11/2017

full time mlimani fc 2-1 blue swalous

Photos 12/08/2017
Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Miami?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Website

Address


Miami, FL
33189