02/22/2026
゚viralシfypシ゚viralシalシ
tumeshuhudia kazi safi kutoka kwa mfungaji wetu 🔥⚽
Kijana ameonyesha utulivu, nidhamu na njaa ya ushindi uwanjani. Ametumia nafasi yake vizuri na kuipa furaha timu ya Wana Mtetezi. Huyu ni mchezaji anayejituma kwa moyo wote, anapambana hadi dakika ya mwisho na anaonyesha wazi kuwa yupo tayari kubeba majukumu makubwa.
Tunamuona k**a hazina ya timu – kasi yake, umakini wake na uwezo wake wa kumalizia nafasi ni silaha muhimu kwetu. Akiendelea hivi, atakuwa tegemeo kubwa sana kwenye mechi zijazo.
Hongera kwake 👏💙 Ushindi unaanza na juhudi binafsi k**a hizi!
07/14/2025
Mjane wa mchezaji wa Ureno, Diogo Jota anaweza kurithi hadi pauni milioni 35 kutoka kwa mali yake kwa usalama wa kifedha wake na watoto wao watatu.
Nyota huyo wa Liverpool, 28, ambaye alifariki dunia pamoja na mdogo yake Andre, 25, katika ajali iliyotokea wiki iliyopita nchini Uhispania, alikuwa amejikusanyia mali wakati wa maisha yake ya soka kwenye Ligi Kuu ya Uingereza.
Miaka miwili ya mishahara hii ilimfanya apate pauni 3,952,000 kabla ya kutimkia Anfield, ambapo miaka miwili ya kwanza ya mkataba wake wa miaka minne wa pauni 83,000 kwa wiki aliweka mfukoni pauni 8,632,000 nyingine.
Kutokana na kipaji chake cha hali ya juu, Liverpool iliongeza mkataba huo kwa miaka mitano mwaka 2022 na kupandisha mshahara wake hadi pauni 140,000 katika kandarasi ambayo ilimfanya apate pauni 21,840,000 kabla ya kifo chake.
Ina maana mapato ya jumla ya Jota ya takriban pauni milioni 34.4 tangu awasili kwenye Ligi ya Premia yanaweza kurithiwa na Rute na wanao.
Iliripotiwa pia kwamba Jota aliwekeza katika nyumba ya vyumba vitano, katika kitongoji cha juu cha Liverpool kaskazini mwa Blundellsands.
Kando na mapato yake kutokana na soka Jota pia alikuwa na mikataba mizuri na Nike na EA Sports ikiingiza kiasi cha pauni milioni 3.3 kwa mwaka na alianzisha timu yake ya Esports iitwayo Luna Galaxy.
Kwa mujibu wa vyombo vya habari vya Ureno, Jota pia alikuwa na mkusanyiko wa magari ya kifahari yenye thamani ya zaidi ya Pauni Milioni moja yakiwemo Range Rover Sport, Porsche 911 Turbo S, Ferrari 488, Audi Q7 na Mercedes-Benz G63AMG.
Tovuti, The Richest, katika wasifu wa kina wa thamani ya kifedha ya Jota, ilisema: ‘Aliacha nyuma urithi wa kifedha ambao ni wachezaji wachache wa soka waliopata wakiwa wachanga sana.
‘Biashara yake mahiri ililingana na maono yake ya uwanjani, aliacha nyuma mwongozo wa jinsi wanasoka wanavyoweza kujijengea mali na urithi zaidi ya uwanja.’
Msiba wa Jota ulikuja siku 13 tu baada ya kumuoa Rute, mpenzi wake wa utotoni.
07/13/2025
K**a unapitia hii hari Mwambie MUNGU naomba uwe msaada kwangu
Nak**a haujawahi kupitia haya maisha mwambie MUNGU Asante 🙏
06/10/2025
Collabo ya Diamond na Bien Yatikisa Gen Z! Je, Tanzania na Kenya Wanaweza Kuungana Tena?
06/07/2025
🚨🚨USHAURI WANGU KWA YANGA KUHUSU HATUCHEZI NG'O ✊️
1. Hoja ya Simba SC (Tarehe 07/03/2025)
Walidai kuzuiliwa kufanya mazoezi siku moja kabla ya mechi na Mabounsa wa Yanga, na kuwasilisha barua kwa Bodi ya Ligi (TFF)
kutokuleta timu uwanjani kwa sababu hiyo.
2. Hoja ya Bodi ya Ligi (TFF):
Baada ya kupokea barua ya Simba SC, Bodi ilihairisha mechi kwa "hoja ya viashiria vya rushwa na usalama" (si kwa sababu ya malalamiko ya Simba SC).
---
Majibu ya Ufasaha na Kisheria:
(a) Ni Hoja Gani Iliyohairisha Mechi?
✅ Hoja ya Bodi ya Ligi (TFF) ndiyo iliyohairisha mechi, sio hoja ya Simba SC. Bodi ilitoa uamuzi wake wenyewe kwa kuzingatia "viashiria vya rushwa na usalama" kufuatia taarifa zilizowasili kwao (hata k**a hazikutoka moja kwa moja kwa Simba SC).
(b) Nani Alileta Malalamiko ya Rushwa kwa Bodi ya Ligi?
⛔ Haihusiani na Simba SC:Malalamiko ya rushwa na usalama hayakutolewa na Simba SC katika barua yao ya asili (iliyolenga kuzuiliwa mazoezi). Bodi ya Ligi ilitoa uamuzi huu kwa mamlaka yake ya kisheria chini ya Kanuni za TFF, ambazo zinaipa nafasi ya:
- Kuchunguza tuhuma zozote za usalama au uadilifu wa mchezo (Orodha ya Kanuni za TFF, Kifungu cha 25).
- Kuchukua hatua za dharura ikiwa kuna "hatari kwa usalama" au "ashiria za rushwa" (Kifungu cha 30.1).
(c) Kwa Nini Bodi Ilishughulikia Hoja ya Rushwa Badala ya Ya Simba SC?
🔍 Sababu za Kisheria:
1. Hoja ya Simba SC haikidhi masharti ya kisheria:
- Kuzuiliwa kufanya mazoezi sio sababu ya kisheria ya kukataa kucheza chini ya Kanuni za TFF (Kifungu cha 17.3: "Sababu za kuchelewesha mechi ni k**a vile afya, usalama, au nguvu kubwa").
- TFF haikuitaja katika uamuzi wa kuhairisha kwa sababu haikuwa na msingi wa kisheria.
2. Bodi ilitumia mamlaka yake ya kudumu:
- Kwa kuzingatia "viashiria vya rushwa," Bodi ilitumia Kifungu cha 30.1 cha Kanuni za TFF: "Bodi ina mamlaka ya kuhairisha mechi ikiwa kuna uthibitisho wowote wa uwezekano wa ufisadi au
06/07/2025
Kwa NyAgo Man GM – Nimetambuliwa sasa hivi k**a mmoja wa mashabiki wake bora!it
It's my times nyagoman ameuwa
06/07/2025
*Kichwa cha Habari:*
*Vijana Wafika Ziwa Tanganyika kwa Mara ya Kwanza – Furaha Yatamalaki!*
*Habari Kamili:*
Katika tukio la kihistoria lililojaa furaha na msisimko, kundi la vijana wanne kutoka mtaa wa Kichangani walitimiza ndoto yao ya muda mrefu kwa kufika Ziwa Tanganyika kwa mara ya kwanza. Wakiwa na bashasha tele, walichukua picha ya kumbukumbu huku miguu yao ikiwa ndani ya maji ya ziwa hilo lenye kina kirefu zaidi barani Afrika.
Vijana hao, waliovaa mavazi ya kawaida na tabasamu nyusoni, walieleza furaha yao kubwa ya kuliona ziwa hilo ambalo walikua wanalifahamu tu kupitia vitabu na hadithi. “Hii ni siku ambayo hatutaweza kuisahau,” alisema mmoja wao kwa furaha.
Wakiwa na matumaini na ndoto nyingi mbele yao, vijana hao wanaamini kuwa huu ni mwanzo wa safari nyingi za kugundua uzuri wa nchi yao. Ziwa Tanganyika limekuwa sio tu kivutio, bali pia chanzo cha motisha na mshik**ano wa vijana wanaotamani kujifunza, kugundua na kushirikiana.
*Mwisho.*
*—Ripoti ya Kaka Richa Tz, Kutoka Ufukweni mwa Ziwa Tanganyika.*
06/07/2025
MCHEZAJI BORA WA WIKI: MAWAZO YANGU KUHUSU UTEUZI
Katika ulimwengu wa soka, maana ya “wiki” mara nyingi huambatana na *roundi kamili ya michezo*, yaani kila timu iwe imecheza mechi moja. Hilo linaipa nafasi k**ati ya uteuzi kupata taswira sahihi ya wachezaji wote waliotoa mchango kwenye wiki hiyo.
Lakini hapa kwetu, mfumo wa ratiba hauendi kwa usawa huo. Hali hii inaleta changamoto katika kumpata mchezaji bora wa wiki, hasa pale baadhi ya timu zikiwa bado hazijacheza kabisa, huku nyingine zikiwa na mchezo mmoja au zaidi.
*Kwa mawazo yangu binafsi*, ili kumpata mchezaji bora wa wiki kwa haki na uhalisia wa mchango wake, *tuzingatie wachezaji waliotoa assist na waliofunga mabao muhimu*. Hawa ndio wanaobeba matokeo ya mchezo moja kwa moja – aidha kwa kuamua matokeo au kusaidia kufanikisha ushindi.
Hatupaswi kuchagua tu kwa jina au umaarufu, bali kwa *kitu halisi alichokifanya uwanjani*. K**a ametoa assist safi, au amefunga bao la ushindi, huyo ni mtu wa kupewa heshima. Maamuzi ya aina hii yanaongeza motisha
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
06/06/2025
FEISAL SALUM AMEWAONESHA WASOUTH SIO WAO TU NDIO WANAWEZA SHIBOBO 🔥
Mofokeng alianza Fei akamjibu tena kwa Usahihi zaidi 🔥
Ubora wake ni wa kiwango cha juu sana ni vile tu tuko nae Tanzania, hiki Chuma kinatakiwa kwenda kuzima na kina Lamine Yamal
06/06/2025
Basus media
FIFA INTERNATIONAL FRIENDLY
🇿🇦 South Africa 0-0 Tanzania 🇹🇿
Bafana bafana ameshindwa kutamba kwao, Tanzania asilimia kubwa walikuwa wanakaa sana nyuma kulinda lango lao wangekuwa serious kidogo Hawa wasauzi wanafungika haswa ukiwapresha na kuwapress sana.