02/09/2026
admin bado anangoja results eti kumeendaje huko nyumba sita!
Kwa kina Wayzata Boys FC
Welcome to the official page of Red Stars FC. Currently participating in FKF Division II Northern Zone League.
Champions of Coast Regional League 2024/2025🏆🥇
Based in Rabai, Kilifi County.
02/09/2026
admin bado anangoja results eti kumeendaje huko nyumba sita!
Kwa kina Wayzata Boys FC
30/08/2026
You know what!
Bobby was right😅
2-0 win by walkover!
Tunasemaga tatu bila jasho,
Next match on Wed 2nd Sep
against Wayzata Boys FC
FT|
KCN Poly (Msa All Stars) 3:4 The Reds
18/08/2026
🔴|WELCOME BACK!
Baada ya safari ndefu nje ya uwanja kutokana na jeraha, tunafurahi kukuona tena ukifanya kile unachokipenda zaidi.
Nguvu, uvumilivu na kujituma kwako vimekuwa vya kutia moyo sana💪
Tunamshukuru Mungu kwa kukufikisha hapa, na k**a club pamoja na mashabiki, tunaendelea kukuombea upone kikamilifu, uwe na afya njema na urejee kwa nguvu zaidi🙏
Watapata taabu sana✨
16/08/2026
Wameponea dadeki
⏰|FT
Red Stars FC 0:0 RWAFA FC
16/08/2026
tumekaa Sana bila mechi Leo ndo hii hapa form💪🏽
Mashabiki wetu tufanye kweli,
mengine tuachieni!
Entry 🎫 ni 50
Mida ⏰ ni Saa Tisa alasiri
dhidi ya RWAFA FC
04/08/2026
GK k**a GK🔥
Watapata taabu Sana💪🏽
01/08/2026
Kisumundogo United FC
"Seventeen matches unbeaten" was only possible because you hadn't faced the BIG BOYS yet😄
We are the Reds🔥
01/08/2026
🔴🔵|Update
⏰|2nd half is ON
KD 0:0 Reds
[📸Picha kwa hisani]