Atletico Seals FC
A Footballclub based in Katani, Syokimau, machakos county.
#TheStingers
#Sautiyamtaa
#ASFC
29/08/2026
Tumtume pale mavoko youth achukuwe ma starboys kathaa ama namna gani?
Next season tunataka kujipanga.....
One Atetwe Nalebe
29/08/2026
Lakini tuambiane ukweli.. Hii league yetu ikiisha na izo 20 games nikama tumeokolewa na zile trips za Roadblock...
Maybe another time ju nikama hii imetutoroka.
29/08/2026
Mana bena Generalih Benaah huyu naye heri utoe inje upumzike pange ju ya panga.
Part and parcel of our seals wall pale nyuma.
29/08/2026
Young boy Delton.. aka Delma. Boy not skipping leg day.
Unyama kwa ujana.
K**a unajua wewe ni winger ama 9, kuja tunakujitaji.
Leo hatupost kwa kizungu.
27/08/2026
Kwao walitupiga na mamluki, wakanyang'anywa points na mabao. Kwetu walikuwa wamekuja revenge wakashindwa wakatoka na shots 2 on target. Excuse ati players wao waliona Simba wakaenda kuwinda.
Sai wamejaa ngorii...
Wanacheza song za Kapungala tu..
26/08/2026
Meet our new Social media Admin.......
Jina labda uitishe number ueke mpesa...
26/08/2026
Kitendawili? Amatuwache????
Okay sawa Mchezea Simba?????? K**a..... Malizia.
26/08/2026
Aaaaaah Si mkuje game zetu mtamuona....
seals yamapalapapa
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Telephone
Website
Address
Katani Road
Machakos